Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment MPYA KABISA inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU dk 15
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
MASTER BEDROOM KUBWA
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking
Usalama wakutosha
Kodi 150,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347