Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule
Jiko
Umeme wa luku & Maji yana flow ndani
Full tilles & gypsum
Usalama wakutosha
Kodi 200,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347