Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Location: UBUNGO RIVERSIDE
Distance: Dakika 4 Kwa Kutembea Tu 🚶
Price: 450,000 × 6
Caution Money ⚠️ 1 Month
✅️Sebule Kubwa
✅️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✅️Jiko Kubwa Zuri
✅️LUKU Independent
✅️Water Independent &Yanaflow Ndani 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Fenced
✅️Full Paving Blocks 🚫
✅️Parking Space Available 🚘
✅️Good Environment 👍
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp