Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE dk 8
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule
Umeme wa luku
Maji yana flow
Full tilles & gypsum
Iko kwenye fenci ila hailazi gali
Kodi 170,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.