Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
200,0000 × 6 APARTMENT CLASSIC FOR RENT
Location: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
*SEBULE KUBWA SANA
*CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
*JIKO KUBWA ZURI
*TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
*UMEME METER YAKO
*MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
NYUMBA IKO NDANI YA FENCE
PARKING KUBWA SANA
GOOD ENVIRONMENT 👍
👉UKITOKEA KIMARA KOROGWE UNAFIKA
👉UKITOKEA UBUNGO EXTERNAL UNAFIKA
📌KOTE USAFIRI WA BAJAJI UPO NAULI SH.500
UKISHUKA UNAPIGA GETI TEKE
📌NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA 15/02/2025 KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS 💰 ✍️
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp