Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ 180k
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Umbali wa Kilomita Moja kutoka Stand Kwa Mkuwa
Unaweza Ukapitia Korogwe Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
Unaweza Ukapitia External Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa Master
โข Jiko lake Kubwa
โข Choo Kizuri cha Wageni
Apartment zipo 4 kwanye Eneo Moja Fensi Bado na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐_๐ฃ๐ Tsh. 180,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp