Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Nyumba nzuri yakupangia
#Location: ubungo external makubuli
Umbali dakika 8
SIFA ZAKE
-chumba sebule kimoja master na jiko
- dipoziti 400000
Umeme inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani ni bule
Apartment zipo nane Ndani ya fence Parking Ipo
KODI YAKE Tsh. 400000 Malipo Miezi Sita
Service Charge 15000/-
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347