Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment nzuri ya Kupanga
#Location: Ubungo Kibangu Jirani na Riverside
Dakika 4 Tu kutoka kwenye Barabara ya Rami ya Mzee wa Upako
• Sebule Kubwa Sanaa
• Chumba kimoja Cha Kulala Kikubwa
• Choo Kizuri Ndani
• Jiko lake la nje
Apartment zipo Kwenye Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#Kodi: Tsh. 220,000/- Malipo Miezi 6 Inapokelewa
0712500602
0755336565



















