Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA ZINAPANGISHWA KODI 350,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU DAKIKA 10-12 KUTEMBEA USAFIRI BAJAJI 500 BARABARA NI LAMI MPAKA MLANGONI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LINAFUNGWA MAKABATI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI MITA YAKO
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ZINAWEKWA ๐ซ
NB: KUINGIA KWANZIA TAREHE 20/1/2025 KUONA KULIPIA RUKXA
##0655256419
##0760830706