Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Kahama, Mwanza
Apartment inapangishwa ipo mbulu kahama mwisho wa mwezi itakua wazi weka oda yako sifa ya nyumba inavyumba 4vyakulala viwili mastar sembule stoo jiko seemu yakulia chakula seemu ya kubadilishia nguo kwenye mastar maji umeme unajitengemea Kodi 400000 kwamwezi kwamawasiliano/0752587400/0621625987