Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐น๐ฟ# APARTMENT # INAPANGISHWA
๐Kimara Mwisho
๐Umbali kutoka stand ya mwendo kasi km 2 usafili bajaji 700 daladala 500 bodaboda 1500
#SIFAZAKE
๐ฒVyumba Vinne kimoja Master
๐ฒSebule kubwa
๐ฒJiko & Danning
๐ฒPublic Toilet
๐ฒAir Conditioner
๐ฒUmeme & Maji #Inajitegemea
๐ฒFenced Car Parking & parving brock
๐ธKodi Tsh 500, 000/=x6(Miezi Sita)
๐ธMalipo ya Dalali Tsh 500,000/=
๐ธService Charge Tsh 15,000/=
Contact
0742260844
0657384670