Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZULI  YA KIBABE INAPANGISHWA MBENZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
  INAVYUMBA 4 VYA KULALA  KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO SAFI LA KISASA
PABLICK YA NDANI 
UMEME UJITEGEMEA NA MAJI
BEI NI 500,000/= ร 6 ILIPWE LAKI TANO KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROOD KM 1
BARABARA LAMI YA ZEGE
USAFILI UPO
BAJAJI 700
BODA 1000
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA NYUMBA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
KUONA NDANI UNARUSIWA NA 
KURIPA
__
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343



















