Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISAA INAPANGISHWA HII SIYO KUACHA KABISAA
LOCATION:MBEZI MWISHOO NJIA YA MPIJI (MACHIMBO)
BAJAJI:1000
KODI YAKE:150,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 4
🥕VYUMBA VIWILI NO MASTER
🥕JIKO SAFII
🥕SEBURE
🥕CHOOO
🥕UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
CONTACT
0782428327