Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment house for Rent zipo 2 Moja ndio itakua wazi Tarehe 1/ 12 Kuona Nyumba na malipo inaruhusiwa
Location Ubungo Riverside Dakika 12 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 400000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
==============
Room 4 Moja ni Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Dining room
Jiko Lina Kabati
Store
Public toilet ndani
Bafu
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Apartment zipo 2
Piga sm faster
0712500602
0755336565
0767500602