Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







#Repost dalali_mshana_ubungo_kimara
——
#APARTMENT ZIPO 2 KWENYE COMPOUND KATI YA HIIZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 4 VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA NI MASTER KIKUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET NDANI
#TILLES
#GYPSUM
#ALUMINUM SLIDE WINDOW
#MAZINGIRA MAZURI SANA
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI RESERVE TANK JUU
#LOCATION #UBUNGO_EXTERNAL DKK 2 TUU KWA MIGUU
#ILIYOWAZI NI APARTMENT YA JUU GHOROFANI
#BEI NI 550,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#service_charge_tsh_30000
DALALI_MAKINI UBUNGO
0712500602 Whatsp
0755336565