Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent zipo 2 tuu Kwenye fancy Moja
Location Ubungo Riverside Dakika 6 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 400000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
==============
Room 4 Moja ni Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Dining room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565