Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
๐ฐ Apartment Kubwa Inapangishwa UBUNGO EXTERNAL
๐ Bei 500,000/= *6
__
_________
โข Vyumba 4 vikubwa sana (Chumba Kimoja master kubwa sana yenye kabati la nguo)
โข Sebule kubwa
โข Dinning
โข Jiko kubwa
โข Choo cha familia
* Aprtment zipo 2 ndani ya fensi na hapa hii moja ndiyo ipo wazi
* Inajitegemea UMEME na MAJI
#Dakika 2 - 4 kwa miguu, Barabara Nzuri hata kwa gari ya chini
_____
#Malipo Ya Dalali Nasoni ni Tsh 500,000/=
#Kupelekwa kuona 15,000/=
โ:- 0753172516