Nyumba/Apartment ya vyumba vitano inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA 300K 
LOCATION; KIMARA MWISHO
UMBALI KM 1.5 
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA 
KIMOJA MASTER 
SEBULE
JIKO KUBWA SANA
PUBLIC TOILET YA NDANI 
UMEME LUKU YAKO
MAJI BULE KABISA
KODI 300,000X4/5/6
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK 
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT NNE NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0715949085
0782838336



















