Nyumba/Apartment ya vyumba vitano inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 250,000 x 6 ) KIMARA MWISHO APARTMENT NZUR YA KISASA KABISA INAPANGISHWA ZIPO ( 3 ) KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA ( 2 ,5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRII WA UHAKIKA
BAJAJ BUKU
UKISHUKA UNATEMBEA DK 5 TU
VYUMBA 2 VYA KULALA SEBULE KUBWA JIKO LA KISASA LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET YA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI PARKING SPEACE KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
.CONT
+255; 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI