Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Apartment Inapangishwa:
Location :: Goba Lastanza
Bei yake :: 1,200,000Tsh kwa mwezi (Miezi 4)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba vitatu(kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko kubwa
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
Hapa mpo wapangaji 2 tu, ila hii moja bdo kupata mtu
Call/
#0653057770
#0693460720
__
PIGA SIMU