Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;( ZIPO MBILI KWENYE COMPOUND)
💧Location :: GOBA NJIA NNE 
💧Bei :: 500,000 Kwa Mwezi
 
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba vitatu (Kimoja Masta)
📍Sebule kubwa
📍Dinning
📍Choo cha Public 
📍Jiko (Linafungwa Makabati)
📍Fence 
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0783558470
Call /Whatsapp




















