Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Apartment Inapangishwa:
(Zipo Mbili Tu kwenye fensi)
Location :: Goba njia ya Makango
Bei yake :: 600,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba vitatu (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
Call/Whatsapp;
0761719944
0693460720