Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ipagala, Dodoma
INAPANGISHWA APARTMENT NZURI KABISA
MAHALI: IPAGALA📌
-----------------------------
MUUNDO WA NYUMBA
⏭️VYUMBA 3 VYA KULALA
⏭️KIMOJA MASTA
⏭️SEBULE
⏭️JIKO & DINING
⏭️PUBLIC TOILET
-----------------------------
HUDUMA
⏭️UMEME UPO
⏭️MAJI YAPO
⏭️FENSI
⏭️WATER RESERVE TANKS
⏭️PAVEMENT
-----------------------------
⏭️KODI NI 300000@MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
⏭️PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI UNALIPA MTEJA NJE YA KODI YA NYUMBA
------------------------------
⏭️GHARAMA ZA KWENDA SITE NI 10,000
---------------------------------------
MAWASILIANO
☎️ 0657122976-----WHATSAPP& CALLS
-----------------------------------------
KARIBUNI SANA