Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa
Ipo kariakoo
Mtaa WA mafia
Ipo floor ya 8
Lifth ipo
Inavyumba vitatu
Kimoja ni master
Sebule jiko
Choo Cha pablic
Bei laki 9 Kwa
Mwezi Kodi
MIEZI 6
Mawasiliano 0757583944