Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam







Hii apartment ipo kariakoo mtaa wa Livingston
Ipo floor ya 3 no lifth
Inavyumba vitatu kimoja ni master bedroom kubwa sebule jiko choo choo cha pablick
Inapangishwa ml 1 na laki 2 kwa mwezi hii ni pamoja na service chaji inatakiwa Kodi ya miezi 6 mawasiliano
#0710614924
#0688653940__