Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
A: vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi: 350,000 Kwa mwezi × 6
B: vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
Kila apartment inajitegemea umeme na maji,ndani ya fence parking IPO
Umbali KM 1.8 Boda boda 1000 Bajaji 700
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37