Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE 230K
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule na public toilet ( hakuna jiko)
Kodi 230,000 Kwa mwezi,× 3
Umbali KM 2 Usafiri bajaji zipo barabara ni ya Lami
Inajitegemea kila kitu ipo yenyewe kwenye ENEO LAKE haina fence usalama upo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167