Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #350K
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 350,000 Kwa mwezi × 6
Umbali dakika 3 Tu Kwa mguu toka kituoni
Ndani ya fence parking kubwa, kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
☎️#0757208653