Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA HOSPITAL #300K
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko na public toilet
Kodi 300,000 Kwa mwezi ×4
Umbali KM 1 bodaboda 1000
Ndani ya fence zipo 2 Tu
Kila mtu anajitegemea
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.