Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
🔰 Inapangishwa KIBAMBA SHULE
📍 Kodi 350,000/= ×6
__
________
#Umbali_wa_dakika_3_tu kwa miguu Kutoka Kituoni
• Vyumba 3 vya kulala (kimojawapo master)
• Sebule
• Jiko
• Public toilet
* Ndani ya Fensi
* Parking kubwa
* Kila apartment inajitegemea UMEME na MAJI yanaflow chooni na jikon
===
# Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 350,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba ni Tsh 15,000/=
№:- 0753172516