Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #700k
====
Vyumba 3 vya kulala
Kimojawapo master bedroom
Sebule kubwa Sana
Dinning kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
===
Bei:700,000 Kwa mwezi ×6 + hela ya tahadhari ya mwezi 1
====
INAJITEGEMEA umeme na maji, fence na parking IPO
===
Umbali KM 1.3 Usafiri bodaboda 1000
===
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347




















