Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam
Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Kijitonyama
Bei: 1,500,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Zipo 3 Kwenye Compound
☑️Lami Nyumba
☑️Vyumba 3, Viwili Ni Master
☑️Sebule Dining Jiko Na Choo
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme Na Maji
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa Dalali