Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐๏ธAPARTMENT NZURI SANA
NDANI YA FENCE YA KISASA
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
NIMESHUSHA BEI KUTOKA 300K MPAKA 250K NDUGU MTEJA.
๐ฅKODI YAKE 250K X6
#VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
#SEBURE KUBWA,
#DINNING
#JIKO KUBWA & STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#UMEME WAKE
#MAJI DAWASA YAKE NA YANAFLO NDANI.
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3.
USAFIRI NI:>>
BAJAJI SH 1,000/=
PIKI PIKI TSH 1,500/=
SERVICE CHARGE 15K.
NA UKIIPENDA NYUMBA NA KUFANYA MALIPO, UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA..
โNYUMBA HII BAADA YA KUFANYIWA MALIPO ITAPIGWA RANGI YOTE NDANI NA NJE โ
๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI SAANA
CONTACT: 0672 673363