Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







280,000  x  6  KIMARA  MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA 
UMBALI  KILOMETER  1.5 KUTOKA KIMARA  MWISHO  MWENDOKASI 
USAFIRI WA UHAKIKA 
BAJAJ BUKU TU
VYUMBA  3  VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE KUBWA SANA  DINNING  NA JIKO  LA KISASA  PUBLIC TOILET YA NDANI
TILES  GPYSUM  SLAIDING 
WINDOW
UMEME  MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258



















