Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







:
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN
BEI NI 500,000/= X 6
APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168