Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
π° Apartment Kubwa Inapangishwa KIMARA KOROGWE
π Kodi 750,000/= Γ6
#Karibu sana na Mwendokasi, dakika 3 tu kwa miguu
__
_______
β’ Vyumba 3 vya kulala (kimojawapo master )
β’ Sebule Kubwa
β’ Jiko
β’ Dinning
β’ Store
β’ Public toilet
* A/c
* Heater ya Maji Moto
* Electric Fence
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Parking Ipo
* Mazingira Mazuri Sana na Tulivu Sana
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 750,000/=
#Kupelekwa Kuona ni 15,000/=
β:- 0753172516