Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER
Inavyumba vitatu vyakulala sebule ya kisasa jiko kubwa
Nyumba niyajuu
Umbali kutoka rod dakika 15 njia nilafiki kwagali zote
Bei ya nyumba 500000x6
Kalibun sana kwenda kuona nyumba 15 ukipenda dalali mwenzi mmoja