Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI.
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI/STOO
PUBLIC TOILET
SLIDE WINDOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 500,000/=ร6
__
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343