Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(300,000 × 6) 𝗔𝗽𝗮𝗿𝘁𝗺𝗲𝗻𝘁 𝘆𝗮 𝗳𝗮𝗺𝗶𝗹𝗶𝗮 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗨𝗞𝗔
APARTMENT NZURI KUBWA NA IPO SEHEMU NZURI INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= × 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA NA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING
BEI NI 300,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300