Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐น๐ฟNEW Apartments Classic For Rent
Location: KIMARA TEMBONI
Upande Wa Kulia Kama Unaenda Mbezi
Distance: 12 Minutes From Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
PRICE: 600,000 ร 6
โ๏ธVYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
โ๏ธSEBULE KUBWA SANA
โ๏ธJIKO KUBWA LINAFUGWA MAKABATI
โ๏ธPUBLIC TOILET
โ๏ธPARKING NA PEVA ZINAWEKWA
โ๏ธLUKU Na METER Ya MAJI YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BILA KUSAHAU PESA Ya TAHADHARI SHILINGI 300,000
๐ซ๐ซNJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA ๐
PIGA SIMU Chapu
Kuona Nyumba Kulipa RUKSA BOSS ๐ฐโ๏ธ
Mafundi Wapo KAZINI/Finishing Ndogo Ndogo
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp