Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
ZIPO APARTMENTS MBILI KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI DAWASA YAPO 24HRS.
Ina vyumba 3 vya
kulala kimoja master
Makabati vyumbani
Sebule kubwa
Jiko na stoo
Public toilet
Tails
Gypsum
Madirisha shata Mazuri
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow
Ndani ya fensi Parking space kubwa.
-----
Kodi ni laki 500,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=