Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(500,000 Γ 6) πππ ππ₯π π§ππ ππ’π‘π
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= Γ 6
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#HEATER YA MAJI MOTO
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GHOROFANI
BEI NI 500,000/= Γ 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 5
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300



















