Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

πŸ’«πŸ’« APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

#0785889413πŸ”₯πŸ”₯

dalali_wa_nyumba_ubungo_kimara
dalali_wa_nyumba_bei_nafuu
dalali_wa_nyumba_ubungo_kimara

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMIVYUMBA 3 VYA KULALA ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 380,000

APARTMENT NZURI YA KISASA IPO KIMARA MWISHO INAPANGISHWA BEI NI 380,000/= X 6 πŸ’₯ ITAKUA WAZI KUANZIA...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 270,000X6LOCTION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIR...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

CHUMBA KIMOJA KIKUBWA "SINGLE"KIZURI SAANA NDANI YA FENCEKINAPANGISHWAKIMARA TEMBONIπŸ’₯ KODI YAKE 50K...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMIVYUMBA 3 VYA KULALA ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

CHUMBA KIMOJA KIKUBWA "SINGLE"KIZURI SAANA NDANI YA FENCEKINAPANGISHWAKIMARA TEMBONIπŸ’₯ KODI YAKE 50K...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA IPO KIMARA TEMBONI BEI NI 350,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

APARTMENT MPYA NZURI SANA YA KISASA SANA NI πŸ”₯ INAPANGISHWA NA IPO MTAA MZURI SANA APARTMENT πŸ”₯πŸ”₯BEI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

APARTMENT MPYA NZURI SANA YA KISASA SANA NI πŸ”₯ INAPANGISHWA NA IPO MTAA MZURI SANA APARTMENT πŸ”₯πŸ”₯BEI...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI ------Vyumba 2 vya ...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT 2 ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM1.5 KUTOKA LAMI --------Vyumba 3 vya kulala kimoja maste...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 140,000

APARTMENT MPYAAA MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA CHANGAMKIA FURSA LOCATION: KIMARA MWISHO KODI 140,0...

Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 12,000,000

BEI MILIONI 12MAONGEZI YAPO =====KIWANJA KINAUZWA KIPO KIMARA TEMBONI =====UMBALI WA KUTOKA BARABARA...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 70,000

70,000 MALIPO MIEZI X 6LOCATION KIMARA KOROGWE πŸ‘‰ KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2 BAJAJI SH.500 UKISHU...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 140,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #CHUMBA NA SEBULE VIZURI#CHOO NA BAFU MNATUMI...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI. VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MAS...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

NYUMBA KALI SANA INA UZWA KIMARA TEMBONI ------SQMT 1200-------SERVICE CHARGE 50,000/=BEI MILIONI 25...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

APARTMENT ZINA 3 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK15 KUTOKA LAMI BODA BUKU-----...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

Apartment Ya Kisasa InapangishwaMahali: Kimara MwishoBei: 400,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6Km1 Kutoka...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

(600,0000X6)KIMARA MWISHO 1.5KMβž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA M...