Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #MPYAA #ZINAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍KIMARA KOROGWE
🕔 UMBALI WA 1KM TOKA MOROGORO ROAD, BODA BODA 1000 TU
#SOMA MAELEZO VIZURI
👉SEHEMU "A"
💧VYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTER, SEBULE, JIKO & CHOO CHA FAMILIA
♦️KODI TSH 300,000/=×6(MIEZI SITA)
👉SEHEMU "B"
💧VYUMBA VITATU VYAKULALA, KIMOJA MASTER, SEBULE, JIKO & CHOO CHA FAMILIA
♦️KODI TSH 350,000/=×6(MIEZI SITA)
👉SIZA ZA PAMOJA
💧UMEME ZINAJITEGEMEA
💧MAJI YA DAWASA YAPO
💧FENCED CAR PARKING
💧ZINAKUWA TAYARI TAR 25/11/2024 KUONA NA KULIPIA RUKSA
♦️MALIPO YA DALALI TSH 350,000/ AU 300,000/=
♦️SERVICE CHARGE TSH 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊