Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#HEATER
#GARDEN
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
๐๐๐๐
INAYOPANGISHWA NI YA CHINI SIO GOROFANI ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
BEI NI 600,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
__
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030