Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA YA KISASA 
INAPANGISHWA 
LOCATION: KIMARA SUKA 
KODI  YAKE 500,000X6 
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU 
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA 
KIMOJA MASTER BEDROOM KUBWA
SEBULE KUBWA SANA
STORE KUBWA 
PUBLIC TOILET YA WAGENI NDANI
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT MBILI TU 
NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU UMEME NA MAJI 
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
PLEASE CALL ME: 0672 673363




















