Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


——IMELIPIWA
350,000 x6. 0679 956 863 ♥️
——
MPYAAA MPYAA MPYAA APARTMENT NZURI SANA. ZINAPANGISHWA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME WAKE NA MAJI YANAFLOO NDANI
SIFA ZA NYUMBA
*INAVYUMBA VITATU VYAKULALA KIMOJAWAPO MASTER
*SEBULE
*JIKO LINA MAKABATI
*CHOO CHA PUBLIC
#PARKING SPACE KUBWA SANA
🛣LOCATION:KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 15
BODABODA 1000 MPKA GETINI
💰BEI:LAKI 350K X MIEZI 6
SERVICE CHARGE TSH 15,000
TUPIGIE NAMBA
0679 956 863
0759151524
0781 418 437