Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


✨ APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA – MADALE KWA KAWAWA (MITA 100 TU KUTOKA LAMI)! 🏢❄️
Tafuta makazi ya kisasa yenye nafasi, utulivu na huduma zote muhimu karibu! Hii apartment inafaa kwa familia au mtu anayehitaji nafasi na faraja.
📍 Mahali: Madale – Kwa Kawawa (Karibu na lami, mita 100 tu)
🛏 Vyumba 3 (2 Master Bedrooms)
🛋 Sebule
🍽 Jiko + Dining + Stoo
🚽 Public Toilet
❄️ A/C zitafungwa kwenye vyumba vyote
✅ Finishing ya kisasa
✅ Mazingira tulivu na salama
✅ Tayari kwa makazi
💰 Bei: TSh 1,000,000 kwa mwezi
⏳ Malipo: Kuanzia miezi 6
📲 Piga/WhatsApp:
#0758998074👈
#0689138795whatsapp
📩 DM kwa viewing au maelezo zaidi
🔖 #ApartmentInapangishwa #MadaleKwaKawawa #KisasaNaUtulivu #RealEstateTZ #UdalaliWaUhakika