Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
💧Location :: MADALE POLICE - KARIBU KABISA NA BARABARA
💧Bei :: Tsh. 600,000 kwa Miezi 6
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Vitatu (Kimoja Master)
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko lenye makabati
📍Electric Fence
Nipigie/WhatsApp - 0783558470