Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Magomeni, Dar Es Salaam


Apartment kali sanaa
@
Inapangishwa
@
Bei 700.000 kwa mwez
@
Mahali magomeni
@
Ni nyumba ya vyumba 3 sebule jiko
@
Chumba master moja
@
Ipo kwenye fensi parkingi ipo
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687